UTUKUFU WA MUNGU UNADHIHIRISHWAJE KUPITIA MAOMBI YA MACHOZI?
Pointi ya 1
· Kwa Mambo Mungu
anayoweza kupitisha katika mfumo wa Maisha yako ili ya Mguse Mungu kuachilia
utukufu wake ndani Mwako.
Kuna
changamoto mkristo anazipitia kimwili na
Kiroho, lakini zimebeba utukufu wa Mungu ,Hali ya ugonjwa wa Lazaro ulibeba
utukufu wa Mungu.
Je, wewe Hali unayopitia imebeba nini wewe?.
0 comments: