Point ya 3.MAOMBI YANAYOMRUHUSU MUNGU KUINGILIA NA KULISHUGHULIKIA TESO LAKO
1 Samweli 1:11
11 ...ikiwa wewe utaliangalia teso la mjakazi wako, na kunikumbuka, wala usinisahau mimi mjakazi wako.na kunipa mimi mjakazi wako mtoto mume.
Mama huyu anaufungua moyo wake kwa Bwana, huku akimsihi aliangalie teso lake.
Nataka utambue Kuna Viwango vya kumfanya Mungu aingilie mfumo wa Maisha yako, Viwango hivi vikifahamika hutampa Mungu ugumu wa kuamua Mambo yako.
Viwango vya kumfanya MUNGU aingilie pito lako lazima viamue kuwa
•MUNGU analiweza hilo pito
•YEYE ni mwaminifu juu ya yote
•HAJAWAHI kushindwa jambo
•HIVYO ANAKUPIGANIA
Je, wewe ni Viwango gani upo vya Mungu KUINGILIA teso lako?
0 comments: