Point ya 5.MAOMBI YA KUJUA NA KUFAHAMU CHOCHOTE KINACHOPATIKANA KWA MUNGU NI CHA MUNGU
1 Samweli 1:11
11 Akaweka nadhiri, akasema, Ee Bwana wa majeshi, ikiwa wewe utaliangalia teso la mjakazi wako, na kunikumbuka, wala usinisahau mimi mjakazi wako, na kunipa mimi mjakazi wako mtoto mume, ndipo mimi nitakapompa Bwana huyo mtoto siku zote za maisha yake, wala wembe hautamfikilia kichwani kamwe.
Shauku kubwa ya Hana ni Mtoto, lakini baada ya jibu kutokea Biblia inasema wazi kuwa atakuwa mali ya Bwana.
Alijua wazi chochote unachopokea kwa Mungu ni Mali yake.
Ili uendelee kudumu katika kujua na kufahamu hayo
•Mweshimu MUNGU Maishani mwako
•Thamini na vitambue vile Mungu avitoavyo kwa ajili yako
•Jifunze kutunza na kuudumisha /kuuenzi muujiza (ushindi wako)
VNatamani uwe na msingi wa Yesu akikutendea Jambo lolote utukufu wa mwisho uwe kwake Kristo Yesu pekee.
Tambua utukufu wa mwisho ni Mali ya Kristo Yesu pekee.
Utukufu wa mwisho utakuwa mali ya KRISTO YESU kama
•Utakubali kujinyenyekesha kwake
•Utamdhihirisha YESU ndani mwako
•Utamtukuza na kumwinua kwa matendo yake kwako Yesu Kristo.
0 comments: